Monday, 26 November 2012

A HADI YANGU

Ninaaahidi....... Kukataa kutumika kama chombo cha vurugu za kisiasa, kuwa mpiga kura aliyeelimika na mwenye ujuzi wa mambo, na kutoa rai kwa kuwa mfano kwa wengine kupitia kwa vitendo vyangu. Wakati utimiapo, nitaitumia haki yangu ya kikatiba na ya kidemokrasia ya kupiga kura na nitafanya hiyo kwa (njia ya) amani, nikipiga kura kutokana na maswala ya umuhimu kwangu kama Mkenya. Nitawafuata wale ambao wamechagua amani na kuwapa changamoto wale waengine kufanya vivyo hivyo.

Boaz Mugoto

1 comment:

  1. Naomba Mola atupe hekima na busara ya kuitekeleza na kuilinda Ahadi hii kama Wakenya. Tusiwe wepesi kwa kuelekeza kidole cha lawama kwa wenzetu tunaohisi wametukera kwa njia moja au nyingine.Itikadi za kidemokrasia zipate kudumishwa.

    ReplyDelete